Remscheid


Remscheid-Lennep

Remscheid ni mji wa Rhine Kaskazini-Westfalia nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Wupper. Idadi ya wakazi wake ni takriban 111,422. Mji ulianzishwa 1173.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne