Rhythm na blues

Rhythm na blues (kutoka Kiing. R&B au RnB) ni aina ya muziki uliomaarufu, ambao umejumlisha muziki wa jazz, gospo, na athari nzima za muziki wa blues. Kwa mara ya kwanza, muziki huu ulikuwa ukiimbwa na wasanii Waamerika Weusi. Lakini baadaye ulipendwa na watu wengi na kufikia hata kutumika na makundi na tamaduni za watu mbalimbali duniani.Lakini pia muziki huu ni muziki unaoonekana kuwa mgumu sana kwa wasanii wengi sana maana ukiangalia wengi wanachanganya na Zuku hivyo kupoteza uhalisia wake[1]

  1. Sacks, Leo (1993-08-29). "The Soul of Jerry Wexler". New York Times. Iliwekwa mnamo 2007-01-11.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne