Rita MacNeil (amezaliwa 28 Mei, 1944 – amefariki 16 Aprili, 2013) alikuwa mwimbaji na mtunzi wa nyimbo wa Kanada kutoka jamii ya Big Pond, Nova Scotia kwenye Cape Breton Island ya Nova Scotia.[1][2]
- ↑ Roberts, David (2006). British Hit Singles & Albums (tol. la 19th). London: Guinness World Records Limited. uk. 341. ISBN 1-904994-10-5.
- ↑ Ouzounian, Richard (Aprili 17, 2013). "Rita MacNeil: Spirited woman touched many with her songs". Toronto Star. Iliwekwa mnamo Septemba 23, 2020.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)