Robert Christgau akiwa mkutanoni mnamo 2006 huko mjini Seattle
Robert Christgau (amezaliwa tar. 18 Aprili1942) ni mwandishi wa habari na mchambuzi/mhakiki wa kazi za muziki kutoka nchini Marekani. Anajiita mwenyewe kama "Dean of American Rock Critics".[1]