Roman Bunka

Roman Bunka

Roman Bunka (amezaliwa 2 Desemba 1951, Frankfurt) ni mpiga gitaa na mtunzi wa nchini Ujerumani. Anajulikana kwa kazi zake akiwa na Fathy Salama, Mal Waldron, Dissidenten, Trilok Gurtu, Charlie Mariano, Mohamed Mounir na Malachi Favors. Bunka anaishi katika mji wa Munich.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne