| |||||
Kaulimbiu ya taifa: -- | |||||
Wimbo wa taifa: Deşteaptă-te, române! | |||||
Mji mkuu | Bukarest (Bucureşti) | ||||
Mji mkubwa nchini | Bukarest | ||||
Lugha rasmi | Kiromania | ||||
Serikali | Jamhuri Klaus Iohannis Marcel Ciolacu | ||||
Uhuru Ilitangazwa ilitambiluwa |
9 Mei 1877 (Kalenda ya Juliasi)2 13 Julai 18783 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
238,391 km² (ya 82) 3 | ||||
Idadi ya watu - 2021 kadirio - 2011 sensa - Msongamano wa watu |
19,186,201[3][4] (ya 61) 19,599,506[1][2] 80.4/km² (ya 118) | ||||
Fedha | Leu (RON )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
EET (UTC+2) EEST (UTC+3) | ||||
Intaneti TLD | .ro | ||||
Kodi ya simu | +40
- | ||||
1Lugha kama Kihungaria, Kijerumani, Kiromani, Kiukraine na Kiserbia hutumiwa kieneo kwenye ngazi kadhaa 3 Mkataba wa Berlin wa 1878. |
Romania (kwa Kiromania: România) ni nchi ya Ulaya ya kusini-mashariki.
Imepakana na Hungaria, Serbia, Ukraine, Moldova na Bulgaria.
Ina pwani kwenye Bahari Nyeusi ambako unaishia mto Danube.
Mji mkuu na mji mkubwa zaidi ni Bukarest.
{{cite web}}
: Unknown parameter |=
ignored (help)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)