Romolo wa Fiesole

Romolo wa Fiesole (alifariki Fiesole, Italia ya Kati) alikuwa shemasi wa Kanisa Katoliki katika karne za kwanza BK[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Julai[2].

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/91328
  2. Martyrologium Romanum

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne