Rosemary Karuga

Rosemary Namuli Karuga (19 Juni 1928 - 9 Februari 2021) alikuwa msanii wa maonesho kutoka Kenya.[1][2] Mwaka 2017, alitajwa na National Museums of Kenya kuwa Artist of the Month. Alijulikana kama msanii wa kwanza wa kike kusoma katika Chuo Kikuu cha Makerere.[3][4][5][6]

  1. "Detail of a collage work by Rosemary Karuga, Untitled, 1998. © Karuga family/Courtesy Red Hill Art Gallery The importance of remembering Kenyan artist Rosemary Karuga". The Conversation. Iliwekwa mnamo 26 Februari 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "The Art House - A Profile of Rosemary Karuga - BBC Sounds". www.bbc.co.uk (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2019-12-22.
  3. "Red Hill Art Gallery". www.redhillartgallery.com. Iliwekwa mnamo 2019-12-22.
  4. "Rosemary Karuga: The masterful artist you've never heard about". Daily Nation (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-12-22.
  5. "Rosemary Karuga: Unearthing Hidden Artistic Treasures | Contemporary And". www.contemporaryand.com (kwa Kijerumani). Iliwekwa mnamo 2019-12-22.
  6. "The nine pioneer women of East African art". The East African (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-12-22.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne