Rutuba (kutoka neno la Kiarabu) ni uwezo wa ardhi kufanikisha ukuaji wa mazao kwa ajili ya kilimo, au pia ni uwezo wa ardhi kutoa makao kwa mimea na kusababisha uzalishaji ulio thabiti na endelevu ulio na ubora wa hali ya juu.
Sifa zifuatazo zinachangia rutuba kwa namna mbalimbali:
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rutuba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |