Kwa maana nyingine za jina hili angalia Ruanda
| |||||
Lugha rasmi | Kiingereza, Kifaransa, Kinyarwanda, Kiswahili | ||||
Mji Mkuu | Kigali | ||||
Serikali | Jamhuri | ||||
Rais | Paul Kagame | ||||
Eneo | km² 26,338 | ||||
Idadi ya wakazi | 11,262,564 (Januari 2015) | ||||
Wakazi kwa km² | 445 | ||||
Jumla la pato la taifa kinaganaga | Bilioni $12.06[1] | ||||
Jumla la pato la taifa kwa kila mtu | $909.91[1] | ||||
Uhuru | kutoka Ubelgiji 1 Julai 1962 | ||||
Pesa | Rwanda-Franc | ||||
Wimbo wa Taifa | Rwanda nziza (Rwanda nzuri) | ||||
Rwanda (zamani pia "Ruanda") ni nchi ya Afrika ya Mashariki isiyo na pwani kwenye bahari yoyote.
Imepakana na Uganda, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Burundi na Tanzania.
Rwanda ni mwanachama wa Umoja wa Mataifa na wa Umoja wa Afrika.