Safia Elmi Djibril (amezaliwa 1963) ni mwanasiasa wa Jibuti na mwanaharakati wa haki za wanawake. Safia ni mjumbe wa Bunge la kitaifa kutoka chama cha People's Rally for Progress, ambacho ni sehemu ya chama tawala cha Union for the Presidential Majority.