Sahani

Sahani ni chombo cha nyumbani chenye umbo la duara, kilichotengenezwa kwa udongo wa kauri, bati au chuma kinachotumiwa hasa kuwekea vyakula.

Tangu zamani, sahani zimepambwa na kuwa sehemu ya sanaa.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne