Samuel Losuron Poghisio ni mwanasiasa anayehudumu kama kiongozi wa walio wengi katika seneti ya Kenya.Samuel ni mwanachama wa Kenya African National Union - KANU na hapo awali alikuwa mwanachama wa United Republican Party - URP na Orange Democratic Movement na alichaguliwa kuwakilisha eneo la Kacheliba katika bunge la kitaifa la Kenya tangu uchaguzi wa wabunge wa 2007. [1][2]