![]() | |
Mkoa | Mkoa wa Sana'a |
Anwani ya kijiografia | Latitudo: 15°21'N - Longitudo: 44°12'E |
Kimo | 2,200 m juu ya UB |
Eneo | ?? km² |
Wakazi | takriban milioni 2 |
Msongamano wa watu | watu ?? kwa km² |
Simu | +967 (nchi), 1 (mji) |
Mahali | |
![]() |
Sana'a (Kiarabu: صنعاء) ni mji mkuu wa Yemeni mwenye wakazi 1,747,627 (2004). Iko kwa 15°21'N na 44°12'E kwenye nyanda za juu za Yemen kwenye kimo cha 2,200 m juu ya UB.
Mji uko takriban 300 km kaskazini ya Aden ambayo ni mji mkubwa wa nchi.