Sara Carter

Sara Elizabeth Carter (alizaliwa Dougherty, baadaye Bayes; amezaliwa 21 Julai, 1898 – amefariki 8 Januari, 1979) alikuwa mchezaji wa muziki wa country, mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka Marekani.[1][2]

  1. Zwonitzer, Mark; Hirshberg, Charles (2004). Will You Miss Me When I'm Gone?: The Carter Family & Their Legacy in American Music. Simon & Schuster. ISBN 0-7432-4382-X.
  2. Lornell, Kip. "Carter, Sara (1898–1979)". Encyclopedia Virginia. Iliwekwa mnamo 2016-05-04.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne