Sass Jordan

Jordan akitumbuiza mwaka 2010.

Sarah "Sass" Jordan (alizaliwa 23 Desemba, 1962) ni mwimbaji wa rock kutoka Kanada aliyezaliwa Uingereza, mwenyeji wa Montreal, Quebec.[1][2]

  1. Maclean, Steve. "Jordan, Sarah (Sass)". The Canadian Encyclopedia. Iliwekwa mnamo 27 Machi 2008.{{cite encyclopedia}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "INTERVIEW WITH SASS JORDAN". 2 Novemba 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne