Sawatch Range ni safu ya milima ya Colorado (Marekani).
Urefu wake katika mlima Elbert unafikia hadi mita 4,401 juu ya usawa wa bahari.
Developed by Nelliwinne