Sekondi-Takoradi

Nyumba huko Sekondi-Takoradi

Sekondi-Takoradi ni mji wa Jamhuri ya Ghana. Ndiyo makao makuu ni Mkoa wa Magharibi.

Katika sensa ya mwaka 2013 kulikuwa na wakazi 539,548[1]

  1. "World Gazetteer online". World-gazetteer.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-01-11.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne