Sergio Pagano (alizaliwa huko Genova, 6 Novemba 1948) ni askofu wa Kanisa Katoliki na Mkuu wa Maktaba ya Siri ya Vatikani.
Pagano alijiunga na Shirika la Wabarnaba mwaka 1966. Alimaliza masomo yake ya falsafa na teolojia huko Roma, ambapo alifanywa kuwa padre tarehe 28 Mei 1977.[1][2]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)