Seun Kuti

Oluseun Anikulapo Kuti (akijulikana pia kama Seun Kuti, alizaliwa 11 Januari 1983) ni mwanamuziki wa Nigeria, mwimbaji na mtoto wa mwisho wa mwanzilishi wa Afrobeat Fela Kuti.[1][2]

  1. Anikulapo, Seun (2011-07-05). "Femi And Seun Kuti Keep Their Father's Rebellious Beat". NPR. Iliwekwa mnamo 2014-01-14.
  2. "Seun Anikulapo Kuti, youngest son and musical heir to Fela Kuti". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 16 Aprili 2014. Iliwekwa mnamo 2014-04-16.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne