Shamgar mwana wa Anath (kwa Kiebrania מְגַּר, Šamgar) alikuwa mmojawapo kati ya Waamuzi wa Biblia.
Kadiri ya Waamuzi 3:31 alikomboa Israeli kutoka mikono ya Wafilisti, kwa kuwaua 600. Katika 5:6 jina linapatikana tena kwa maelezo tofauti hata kusababisha maswali mengi yanayojibiwa na wataalamu kwa namna mbalimbali.
Waamuzi 12 na wengineo |
---|