Shawn Desman

Shawn Bosco Fernandes (anajulikana kwa jina lake la kisanii Shawn Desman, alizaliwa 12 Januari 1982) ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mcheza densi, na mchoraji wa miondoko kutoka Kanada.[1]

  1. "Music Canada - Gold/Platinum". musiccanada.com. Februari 20, 2003. Iliwekwa mnamo Novemba 1, 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne