Jamuhuri ya Ushelisheli République des Seychelles (Kifaransa) Repiblik Sesel (Kimaori) | |
---|---|
Kaulimbiu: "Finis Coronat Opus" (Kilatini) "Mwisho hutunuku taji kazi" | |
Wimbo wa taifa: "Koste Seselwa" Join together all Seychellois | |
Miji mikuu | Victoria (Shelisheli) |
Mji mkubwa | Victoria |
Lugha rasmi |
|
Kabila |
|
• Wavel Ramkalawan | Rais |
• Ahmed Afif | Makamu wa Rais |
Dominion (kujitawala) | |
Eneo | |
• Jumla | km2 268,680 km² (ya 75) |
• Maji (asilimia) | 2.1% |
Idadi ya watu | |
• Kadirio la 2021 | 130,523 |
• Msongamano | 19.1/km2 |
PLT (PPP) | Kadirio la 2024 |
• Jumla | ![]() |
• Kwa kila mtu | ![]() |
PLT (kawaida) | Kadirio la 2024 |
• Jumla | ![]() |
• Kwa kila mtu | ![]() |
HDI (2022) | 0.802 |
Gini (2019) | 32.1 |
Sarafu | Rupea ya Ushelisheli (SCR) |
Majira ya saa | UTC+04:00 (SCT) |
Msimbo wa simu | +248 |
Jina la kikoa | .nz |
Shelisheli pia Ushelisheli, kwa jina rasmi Jamhuri ya Shelisheli (kwa Kifaransa: République des Seychelles; kwa Krioli Repiblik Sesel), ni funguvisiwa na jamhuri katika Bahari Hindi, mashariki kwa mwambao wa Afrika Mashariki na kaskazini kwa Madagaska. Nchi hiyo ya visiwa inajumuisha visiwa 155 (kulingana na Katiba).
Mji mkuu wake na mji mkubwa zaidi, Victoria (Shelisheli), uko kilomita 1,500 (milia za baharini 800) mashariki ya bara la Afrika.
Nchi za visiwa na maeneo ya jirani ni Komoro, Madagaska, Morisi, na idara za ng'ambo za Ufaransa za Mayotte na Réunion kusini; na funguvisiwa la Chagos upande wa mashariki.
Shelisheli ni nchi iliyo ndogo zaidi barani Afrika pamoja na kuwa nchi ya Kiafrika iliyo na idadi ndogo zaidi ya watu, ikiwa na wakazi wanaokadiriwa kuwa 100,600 mwaka 2022