Shemasi mdogo

Mashemasi wadogo wakishika mishumaa ya kiaskofu wakati shemasi anasoma Injili katika Liturujia ya Kimungu.

Shemasi mdogo ni Mkristo anayetoa huduma fulani katika madhehebu mbalimbali, hasa wakati wa liturujia.

Cheo chake kinafuata kile cha shemasi. Pengine kinalinganishwa kabisa na kile cha akoliti.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne