Shinikizo kutoka migongano ya chembe ndani ya chombo kilichofungwa
Shinikizo (kwa Kiingereza "pressure"; ishara yake ni p au P. Matumizi ya P au p inategemea tasnia au taaluma. Mapendekezo ya IUPAC ya kuonyesha shinikizo ni herufi 'p' ndogo.[1] Hata hivyo, herufi P kubwa hutumika sana.) ni kani inayotumika kutoka juu moja kwa moja kwenye uso wa kitu kwenye eneo kani hiyo imesambaziwa[2]