Shishapangma

Mlima Shishapangma

Shishapangma ni mlima mrefu, wenye kimo cha m 8,012 juu ya usawa wa bahari. Ni sehemu ya safu ya milima ya Himalaya.

Kilele chake kipo katika nchi ya Tibet (Uchina).


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne