Sierra Negra

Mlima Sierra Negra (kushoto) pamoja na Pico de Orizaba

Sierra Negra ni mlima wa Meksiko katika Amerika ya Kaskazini.

Una kimo cha mita 4,640 juu ya UB.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne