Siga ilikuwa bandari ya Waberber na Roma karibu na mji unaojulikana kwa sasa kama Aïn Témouchent, Algeria. Chini ya Dola la Roma ilikuwa sehemu ya magharibi mwa Mauretania Caesariensis, mpakani mwa Mauretania Tingitana.
Developed by Nelliwinne