Silvia Lloris

Silvia Lloris Nicolás (alizaliwa 15 Mei 2004) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uhispania, ambaye anacheza kama kiungo katika klabu ya Atletico Madrid, inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake ya Uhispania.[1][2]

  1. "Spain - Silvia Lloris - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". int.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2024-09-21.
  2. "Silvia, Silvia Lloris Nicolás - Footballer | BDFutbol". www.bdfutbol.com. Iliwekwa mnamo 2024-09-21.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne