Simba wa Yuda

Simba wa Yuda juu ya kanzu ya silaha za Yerusalemu

Simba wa Yuda (kutoka Kiebrania אריה יהודה, Aryeh Yehuda) ni ishara ya kiutamaduni katika Uyahudi, hasa la kabila la Yuda.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne