Simeoni I wa Aleksandria (alifariki 699) kuanzia mwaka 692 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa Aleksandria (Misri) na Papa wa 42 wa Kanisa la Wakopti ambalo linamheshimu kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 31 Julai.
Developed by Nelliwinne