Siriaki na Paula (walifariki Urusi, leo Sougda, nchini Tunisia, 303) walikuwa ndugu waliouawa katika ujana wao kwa kupigwa mawe wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano dhidi ya Wakristo[1].
Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 18 Juni[2].