Sitini na nne (pia: arubasitini kutoka Kiarabu) ni namba inayoandikwa 64 kwa tarakimu za kawaida na LXIV kwa zile za Kirumi.
Ni namba asilia inayofuata 63 na kutangulia 65.
Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 2 x 2 x 2 x 2 x 2 (au 26).
Developed by Nelliwinne