Sitini na saba ni namba inayoandikwa 67 kwa tarakimu za kawaida na LXVII kwa zile za Kirumi.
Ni namba asilia inayofuata 66 na kutangulia 68.
67 ni namba tasa.
Developed by Nelliwinne