| |||||
Kaulimbiu ya taifa: {{{national_motto}}} | |||||
Wimbo wa taifa: Zdravljica | |||||
Mji mkuu | Lyublyana | ||||
Mji mkubwa nchini | Lyublyana | ||||
Lugha rasmi | Kislovenia, Kiitalia1, Kihungaria1 | ||||
Serikali | Jamhuri Borut Pahor Janez Janša | ||||
Uhuru imetangazwa |
25. Juni 1991 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
20,273 km² (ya 154) 0.6% | ||||
Idadi ya watu - Julai 2014 kadirio - 2002 sensa - Msongamano wa watu |
2,061,085 (ya 144) 1,964,036 101/km² (ya 106) | ||||
Fedha | Euro (EUR) tangu tarehe 1.1.2007 (SIT )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
CET (UTC+1) CEST (UTC+2) | ||||
Intaneti TLD | .si | ||||
Kodi ya simu | +386
- | ||||
1 Katika miji yenye watu wengi wa utamaduni wa Kiitalia au Kihungaria. |
Slovenia ni nchi ya Ulaya ya Kati, mashariki kwa milima ya Alpi.
Imepakana na Italia, ghuba ya Adria ya bahari ya Mediteranea, Kroatia, Hungaria na Austria.
Mji mkuu pia mji mkubwa ni Lyublyana (kwa Kislovenia: Ljubljana).
Ni mwanachama wa Umoja wa Mataifa na wa Umoja wa Ulaya.