Sokode

Sokode ni mji wa Togo katika Mkoa wa Kati.

Wakazi walikadiriwa kuwa 189,000 [1]. Wengi ni wa kabila la Wakotokoli, ambao wanaishi pamoja na Waislamu.

  1. "Sokodé - Population - CityFacts".

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne