| |||||
Kaulimbiu ya taifa: | |||||
Wimbo wa taifa: Sri Lanka Matha (Sri Lanka Mama) | |||||
Mji mkuu | Sri Jayawardenapura | ||||
Mji mkubwa nchini | Colombo | ||||
Lugha rasmi | Kisinhala, Kitamil | ||||
Serikali | Jamhuri Ranil Wickremesinghe Dinesh Gunawardena | ||||
Uhuru kutoka Uingereza |
ilikubaliwa 4 Februari 1948 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
65,610 km² (ya 122) 4.4 | ||||
Idadi ya watu - 2020 kadirio - 2012 sensa - Msongamano wa watu |
22,156,000 (ya 57) 20,277,597 337.7/km² (ya 24) | ||||
Fedha | Rupia ya Sri Lanka (LKR )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+5:30) (UTC) | ||||
Intaneti TLD | .lk | ||||
Kodi ya simu | +94
- |
Sri Lanka (pia Sirilanka, kwa Kisinhala Śrī Laṃkāva, kwa Kitamil Ilaṅkai; hadi mwaka 1972: Ceylon) ni nchi ya kisiwani katika Asia ya Kusini.
Iko karibu na ncha ya kusini ya rasi ya Uhindi katika Bahari Hindi.
Nchi imekaliwa na watu walau kuanzia miaka ya 125,000 KK na ilizidi kupata umuhimu kutokana na mahali ilipo.