Stephen Robson (alizaliwa 1 Aprili 1951) ni askofu mstaafu wa Jimbo Katoliki la Dunkeld. Kuanzia 2012 hadi 2014 alikuwa askofu msaidizi wa Jimbo kuu la St. Andrews na Edinburgh.[1][2]
{{cite web}}
: CS1 maint: archived copy as title (link) CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)