Pia ni mtoto wa Bob Marley, ameshinda tuzo za Grammy mara nane, mara tatu kama msanii pekee, mara mbili kama mtayarishaji wa albamu za ndugu yake Damian Marley za Halfway Tree na Welcome to Jamrock, na mara tatu zaidi kama mwanachama wa kundi la kaka yake mkubwa Ziggy Marley la Ziggy Marley & The Melody Makers.[1][2][3][4]