Steven Lewis Point, (alizaliwa Julai 28 1951)[1] ni kiongozi wa maswala ya elimu nchini Kanada, pia ni mwanaharakati wa maswala ya sheria. Yeye ndiye msimamizi mkuu wa sasa Chuo Kikuu cha British Columbia. Mwaka 2007 hadi 2012 alihudumu kama Luteni Gavana wa 28 wa British Columbia