| |||||
Kaulimbiu ya taifa: Al-Nasr Lana (Kiarabu: Ushindi ni Wetu) | |||||
Wimbo wa taifa: نحن جند للہ جند الوطن Nahnu Jund Allah Jund Al-watan ("Sisi ni Jeshi ya Mungu na Nchi yetu") | |||||
Mji mkuu | Khartoum | ||||
Mji mkubwa nchini | Omdurman | ||||
Lugha rasmi | Kiarabu | ||||
Serikali | Abdel Fattah al-Burhan Abdalla Hamdok | ||||
Uhuru - Tarehe |
Kutoka Misri na Uingereza 1 Januari 1956 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
1,886,068 km² (ya 16) 5% | ||||
Idadi ya watu - Julai 2015 kadirio - 2008 sensa - Msongamano wa watu |
40,235,000 (ya 35) 30,894,000 16.4/km² (195) | ||||
Fedha | Dinar (SDD )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
MSK (UTC+3) not observed (UTC+3) | ||||
Intaneti TLD | .sd | ||||
Kodi ya simu | +249
- |
Sudan (jina rasmi: Jamhuri ya Sudan) ni nchi ya tatu kwa ukubwa katika bara la Afrika na ya kumi na sita duniani
Imepakana na Misri kaskazini, Bahari ya Shamu kaskazini-mashariki, Eritrea na Ethiopia mashariki, Sudan Kusini kusini-mashariki, Afrika ya Kati na Chadi magharibi, na Libya kaskazini-magharibi.
Kijiografia nchi hii huhesabiwa kama sehemu ya Afrika ya Kaskazini.
Majimbo ya Sudan Kusini yalikuwa sehemu ya nchi hiyo lakini yalipiga kura ya kujitenga yakapata kuwa nchi huru kuanzia tarehe 9 Julai 2011.