Sunda Rapids

Sunda Rapids ni sehemu ya maporomoko kwenye mwendo wa Mto Ruvuma unaofanya mpaka baina ya Tanzania Kusini na Msumbiji. Mto Ruvuma unapitia bonde jembamba ambako maji yake yalikata njia katika miamba yakiwa hapa na mwendo wa mbio.[1]

  1. Through a land of giants Ilihifadhiwa 21 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine., taarifa juu ya safari kwenye Mto Ruvuma kupitia Sunda Rapids, Africa geographic Magazine, 8 May 2015

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne