Susan Cadogan (alizaliwa 2 Novemba 1951)[1][2] ni mwimbaji wa reggae kutoka Jamaika anayejulikana zaidi kwa vibao vyake maarufu katikati ya miaka ya 1970.[3]
Developed by Nelliwinne