Papa Inosenti III (1198–1216) akiwa amevaa taji alivyochorwa ukutani katika monasteri ya Mt. Benedikto huko Subiaco, 1219 hivi.
Taji la Kipapa lilikuwa kofia iliyovaliwa na Mapapa wengi hadi mwaka 1964[1]. Hapo katikati ilizidi kupambwa na dhahabu na vito kwa mfano na taji la mfalme[2][3].
- ↑ Doty, Robert C. (14 Novemba 1964). "Pope Paul Donates His Jeweled Tiara To Poor of World". The New York Times. Iliwekwa mnamo 27 Aprili 2018.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
- ↑ Joseph Braun, "Tiara" in The Catholic Encyclopedia. Vol. 14. New York: Robert Appleton Company, 1912
- ↑ "tiara – papal dress". Encyclopædia Britannica.