Tallahassee | |
Mahali pa mji wa Tallahassee katika Marekani |
|
Majiranukta: 30°27′06″N 84°16′07″W / 30.45167°N 84.26861°W | |
Nchi | Marekani |
---|---|
Jimbo | Florida |
Wilaya | Leon |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 50,302 |
Tovuti: TalGov.com |
Tallahassee ndiyo mji mkuu katika jimbo la Florida. Idadi ya wakazi ni 168,979 (2008).