Tamasha la Omabe ni tamasha la pekee na tofauti na matamasha mengine yanayofanyika kila mwaka kwani tamasha la Omabe hufanyika kila baada ya miaka mitano. Tamasha hili ni hazina kwa Waimufu, mkoa wa Nsukka na Ezike katika jimbo la Enugu. Tamasha hili limekuwepo kwa karne kadhaa sasa na unaumuhimu mkubwa sana kwa watu wa Imufu na ishara ya utakaso na kuondoa maovu katika jamii.[1][2]