Tangawizi

Unga wa tangawizi.

Tangawizi (kwa Kilatini zingiberis rhizoma; kwa Kiingereza: ginger) ni mzizi wa mtangawizi.

Umbo la tangawizi ni kama lile la mzizi wa manjano na yote miwili hutumika kama viungo katika chakula.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne