Tennessee | |||
| |||
Nchi | ![]() |
||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Nashville | ||
Eneo | |||
- Jumla | 109,151 km² | ||
- Kavu | 109,752 km² | ||
- Maji | 2,399 km² | ||
Tovuti: http://www.tennessee.gov/ |
Tennessee ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Imepakana na Kentucky, Virginia, North Carolina (Carolina Kaskazi), Georgia, Alabama, Mississippi, Arkansas na Missouri. Mipaka asilia ni Mto Mississippi upande wa maghaibi. Mji mkuu ni Nashville na mji mukubwa ni Memphis. Jimbo lina wakazi wapatao 6,214,888 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 109,247.
Gavana ya jimbo ni Phil Bredesen.