Teodoro Paleologo (anayejulikana kama Kardinali wa Monferrato; Casale Monferrato, 14 Agosti 1425 – 1484) alikuwa kardinali na askofu wa Kanisa Katoliki.
Alizaliwa na John Jacob, Marquess wa Montferrat, na Princess Giovanna wa Savoy, ambaye alikuwa binti Amadeus VII, mtemi wa Savoy, na dada wa Antipapa Felix V. [1]