“Thank God I Found You”
|
|
Single ya Mariah Carey akiwashirikisha Joe na 98 Degrees kutoka katika albamu ya Rainbow
|
Imetolewa
|
1 Novemba 1999
|
Muundo
|
CD single, cassette single, 7" single, 12" single
|
Imerekodiwa
|
1999
|
Aina
|
R&B
|
Urefu
|
4:17
|
Studio
|
Columbia Records
|
Mtunzi
|
Mariah Carey, Jimmy Jam and Terry Lewis
|
Mtayarishaji
|
Mariah Carey, Jimmy Jam, Terry Lewis
|
Certification
|
Gold (U.S.)
|
Mwenendo wa singles za Mariah Carey |
"Heartbreaker" (1999) |
"Thank God I Found You" (2000) |
"Crybaby"/"Can't Take That Away (Mariah's Theme)" (2000) |
|
Mwenendo wa singles za Joe |
"Still Not a Player" (1998) |
"Thank God I Found You" (2000) |
|
|
Mwenendo wa singles za 98 Degrees |
|
"Thank God I Found You" ni wimbo ulioandikwa na mwanamuziki wa Marekani Mariah Carey akishirikiana na Jimmy Jam na Terry Lewis kwa ajili ya albamu ya Carey ya sita, iliyojulikana kama Rainbow, ambayo imeotoka mwaka 1999. Katika albamu hii, inawajumuisha wanamuziki kama vile Joe na kundi la wavulana la 98 Degrees na ilihamasishwa na mpenzi wa Carey wa kipindi kile ailiyeitwa Luis Miguel. Baada ya wimbo huu, ndipo matatizo ya mahusiano katika yake na mpenzi wakeyalipoanza.Wimbo huu ulitoka kama single ya pili kutoka katika albamu yao iliyotoka mwaka 2000, na kufika katika nafasi ya kwanza nchini Marekani, lakini ulikuwa na mafanikio ya wastani katika nchi nyingine.